Subscribe:

Ads 468x60px

Labels

March 07, 2012


DJ CLEO NDANI YA BONGO JUMAMOSI HII>>>>>>

Yule mkali wa kwaito kutoka South Africa DJ Cleo anatarajia kupiga show yake hapa siku ya Jumamosi ya tarehe 10 mwezi huu. DJ Cleo anayetamba na hit song kibao kama Wena ng' Hamba Nawe, Akulalwa, Mind ckuf pamoja na Facebook ambayo ndio imewateka wakazi wengi wa kibongo na dunia kwa ujumla. Wasanii wakibongo watakaosindikiza show hii ni pamoja na Suma Lee, Ommy Dimpozi, Dully Sykes, Chege & Temba, Juma Nature, Tip Top Connection, Linex na wengine kibao.

Show hii itafanyika pale Kijitonyama kwenye viwanja vya posta na nimeambiwa kiingilio kitakuwa shilling elfu 10 kwa kichwa, so wale wapenzi wa DJ Cleo na wapenzi wa kwaito hii sio yakukosa

No comments:

Post a Comment

Page viewers