Hov, Jiga Man, Blue Ivy’s dad, The man himself JAY Z amedizaini logo
mpya kwa ajili ya Brooklyn team, logo hiyo inamuonekano wa rangi nyeusi
na nyeupe, wakati wa mkutano na waandishi wa habari, Mkurugenzi wa wa
Basketball Brett Yorkmark alinukuliwa akisema “ Leo tunazindua chapta
nyingine, Hii iko fresh sana, tumesubiri miaka saba (7) mpaka kufikia
hapa”.
Muonekano wa kibiashara wa team tayari unaonekana kupitia NJNets.com ,
wakati huo huo vitu vingine vya ziada unaweza kuviona kwenye face book
page ya team zikiwemo kofia, tops na tishets.
No comments:
Post a Comment